Stock Taking kwa Vitendo kwa Supermarket na Pharmacy
· Mauzo360 Team
Angalia jinsi timu ya Mauzo360 inavyofanya stock taking na inventory audit kwa biashara kubwa.

Tunapofanya stock taking, tunahesabu bidhaa zote, tunalinganisha na rekodi za tawi, kisha tunafunga tofauti pamoja na timu.
Tazama video ya stock taking: https://www.youtube.com/watch?v=6kIeOKs_4V4
Tunasaidia supermarket, pharmacy, maduka ya vipodozi na maduka ya nguo Tanzania.